Zinga
16-10-2023 • 49 min
Kumekuwa na mengi ambayo yameshamiri ulimwengu wa siasa wiki iliyopita, Serikali imekuwa na yake huku upinzani ukileta yao, je huenda labda tukaona handisheki ? Tunalidadavua swala hili.